Pages

Friday, June 1, 2012

UHUSIANO KATI YA SHULE NA VIPAJI

Siki za hivi karibuni shule na vipaji vimekuwa havina uhusiano mzuri, picha hapo juu inaonyesha ni jinsi gani shule zimekuwa zikipoteza uhusiano na vipaji.
Tafakari, chukua hatua.

Dr Martin Luther King


Dr Martin Luther King aliwahi kusema " UKIMYA WA RAFIKI ZETU UNAUMIZA SANA KULIKO HATA KELELE ZA MAADUI 
ZETU" tafadhali zingatia falsafa hii!!