Wanafunzi wa chuoo kikuu cha Dar es salaam, waendele na mgomo baridi ndani ya chuo, wanafunzi hao ambao walimecheleshewa fedha zao,waliamua kugoma kuingia darasani na kuandamana hadi kwa makamu mkuu wa chuo (Prof R.Mukandala) hapo jana wakishinikiza wapewe fedha zao.
Makamu mkuu wa chuo alifanikisha madai hayo, na wanafunzi wakaanza kuchukua fedha zao.Halii ya usalama ilirudi kama dhamani.
Fedha zilitolewa kwa vitivyo vyote isipokuwa kitivyo cha waandisi(CoET) ndicho hakikupata fedha, wanafunzi wa kitivyo hicho waliamua nao wazifuate fedha zao kwa Prof Mukandala( walisitisha masomo na kuandamana hadi ofisi kuu za utawala) wakihoji " kwanini vitivyo vingine wapewe wao wakose, wakati wameanza chuo siku moja wote".
Hadi kuingia mitamboni bado wanafunzi hao wanaendelea kukaa nje ya ofisi kuu za chuo, na kusitisha shughuli zote za utawala.
Showing posts with label UDSM. Show all posts
Showing posts with label UDSM. Show all posts
Tuesday, December 13, 2011
Wednesday, November 16, 2011
WANAFUNZI WA UDSM WALIOKUWAPO MIKONONI MWAPOLISI WAACHILIWA
Wanafunzi waliokamatwa siku ya ijumaa, katika maandamano yaliofanyika chuo kikuu cha Dar es salaam compus ya mwalimu Nyerere waachiliwa kutoka mikononi mwa polisi.Wanafunzi hao waliokuwa wanaandamana kudai fedha za mikopo za baadhi ya wanafunzi wenzao wa mwaka wa kwanza walikamatwa mara baada ya kukiuka amri ya polisi, iliyowaomba watawanyike kwa madai maandamano hayakuwa halali. walikwekwa ndani kwa muda wa siku takriban tano(5). wameachiliwa leo mara baada ya mgomo wa siku mbili wa kutoingia madarasani.
Subscribe to:
Posts (Atom)
