Pages

Wednesday, December 28, 2011

FIDEL CASTRO DURING CUBA REVOLUTION

FIDEL CASTRO AND CHE GUEVARA

Castro and his soldier

Castro  < being smoking>



I began revolution with 82 men. If I had to do it again, I do it with 10 or 15 and absolute faith. It does not matter how small you are if you have faith and plan of action

Tuesday, December 13, 2011

AMANI YAPUNGUA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Wanafunzi wa chuoo kikuu cha Dar es salaam, waendele na mgomo baridi ndani ya chuo, wanafunzi hao ambao walimecheleshewa fedha zao,waliamua kugoma kuingia darasani na kuandamana hadi kwa makamu mkuu wa chuo (Prof  R.Mukandala) hapo jana wakishinikiza wapewe fedha zao.

Makamu mkuu wa chuo alifanikisha madai hayo, na wanafunzi wakaanza kuchukua fedha zao.Halii ya usalama ilirudi kama dhamani.
Fedha zilitolewa kwa vitivyo vyote isipokuwa kitivyo cha waandisi(CoET) ndicho hakikupata fedha, wanafunzi wa kitivyo hicho waliamua nao wazifuate fedha zao kwa Prof Mukandala( walisitisha masomo na kuandamana hadi ofisi kuu za utawala) wakihoji " kwanini vitivyo vingine wapewe wao wakose, wakati wameanza chuo siku moja wote".
Hadi kuingia mitamboni bado wanafunzi hao wanaendelea kukaa nje ya ofisi kuu za chuo, na kusitisha shughuli zote za utawala.

Thursday, December 8, 2011

NI MIAKA 50 SASA TANGU TUPATE UHURU,
TUMETHUBUTU..
TUNAWEZA ....
NA TUNASONGA MBELE..

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU IBARIKI AFRIKA.