Pages

Thursday, March 29, 2012

DAR ES SALAAM TANZANIA

Hapa ndipo wajanja wanapochumua utajiri na wazembe wanapoangaika na jua kali. Fumbuka macho MTANZANIA,  hii keki sio ya mafisadi tu.. ni yakwetu wote. tushirikiane wote kwa ujumla kuelimishana na kupeana taarifa za mafanikio kwa taifa letu.Tujitume kwa uwezo wetu wote natumai tutaweza..