Pages

Thursday, February 9, 2012

SERIKALI YA AWAMU YA NNE.. INAONGOZA KWA MIGOMO KATI YA AWAMU ZOTE ZA UTAWLA NCHINI TANZANIA

Jakaya Mrisho  Kikwete.., rais wa awamu ya nne kwa vipindi viwil tofauti..akiongoza jopo la watanzania wasiopungua Mil 45..Utawala wake umekumbwa na madhoruba mengi..yaliotishia na yanayoendelea kutishia  amani ya nchii...Sakata la Madaktari. ambalo linaendelea hadi sasa..


Bwana Mkubbwa amekaa kimya...sana...

No comments: